1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni vipi serikali za Ujerumani zashughulikia corona?

Harrison10 Julai 2020

Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inaangazia jinsi serikali mbili za Ujerumani (serikali kuu pamoja na serikali ya majimbo) zinavyotofautiana katika kukabiliana na janga la virusi vya corona kutokana na utofauti wa maeneo yao. Mwandaaji na msimulizi wako ni Harrison Mwilima akiwa Berlin.

https://p.dw.com/p/3f5hF