Ni vipi mitaa ya Ujerumani ilivyopata majina yake? | Media Center | DW | 06.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ni vipi mitaa ya Ujerumani ilivyopata majina yake?

Kila mtaa nchini Ujerumani una jina lake na kwa kawaida majina hayo huandikwa katika vibao vilivyowekwa katika kila barabara. Lakini unajua ni kanuni gani zinazotumika kuipa mitaa majina hayo? Basi yasikilize makala haya ya Sura ya Ujerumani yaliyoandaliwa na Elizabeth Shoo kufahamu zaidi.

Sikiliza sauti 09:45