1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni vipi fedha za wahamiaji zinaweza kukuza uchumi Afrika?

Harrison Mwilima9 Oktoba 2020

Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inaangazia mchango wa Waafrika wanaoishi nje ya bara lao hususan katika kutuma fedha kwa familia zao kila kukicha. Fedha hizo zinasadikiwa kuzidi misaada ya kimaendeleo inayotumwa na wafadhili kuelekea barani Afrika. Swali ni vipi fedha hizo zinaweza kusaidia kukuza uchumi wa nchi zao. Mradi wa WIDU.africa unalijibu swali hilo. Msimulizi ni Harrison Mwilima

https://p.dw.com/p/3jhVN