1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kwa kiasi gani vijana wanaathirika na michezo ya kompyuta?

11 Oktoba 2019

Wengi wetu tunaijua ama tunacheza sana michezo ya mitandaoni ama "games" za kwenye simu au hata kwenye runinga. Lakini hivi tumeshawahi kuangalia upande wa athari ama matokeo yake? Majibu yako hapa kwenye makala ya Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/3R7uW