1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kitu gani kinachosababisha maumivu ya mwili?

Tatu Karema
27 Februari 2023

Kuelewa maumivu na jinsi yanavyofanya kazi ni sehemu muhimu ya jinsi wahudumu wa afya wanavyogundua aina za matibabu. Lakini ni kitu gani kinachotokea mwilini hadi ukajipata upo katika hali hiyo ya kusikia Maumivu? Na yanakuathiri vipi? Tatu Karema anakufahamisha zaidi katika kipindi hiki cha Afya Yako.

https://p.dw.com/p/4O1Sa