Ngozi angavu au ngozi ya kawaida? | Anza | DW | 24.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Ngozi angavu au ngozi ya kawaida?

Bidhaa za kung’arisha kupita kiasi yaani bleaching katika Kiingereza zinaweza kuuzwa kihalali kati ya dola 2 na 10 katika maduka ya dawa au maduka ya jumla. Pia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, biashara ya bidhaa za kung’arisha ngozi imekuwa maarufu

Tazama vidio 02:05