Nelson Mandela - sauti ya uhuru | Mada zote | DW | 06.12.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Nelson Mandela - sauti ya uhuru

Neleson Mandela, babu wa Afrika Kusini na shujaa wa mapamabano dhidi ya ubaguzi wa rangi amefariki dunia. Mmoja wa wafungwa maarufu zaidi wa kisiasa wa zama zake, alikuja kuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini.