1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndugai ashindwa kufika mahakamani

Deo Kaji Makomba25 Januari 2022

Aliyekuwa Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai ameshindwa kufika mahakamani kusikiliza kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR Mageuzi Mbatiaakipinga mchakato wa kujiuzulu kwenye nafasi hiyo hivi karibuni. Kutoka Dodoma, Tanzania, mwandishi wetu Deo Kaji Makomba, alituandalia ripoti hii kutoka Dodoma.

https://p.dw.com/p/462yF