1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndoto za vijana wengi katika nchi ya Senegal

Sylvia Mwehozi
7 Februari 2018

Tatizo la ukosefu wa ajira ni changamoto inayowakabili vijana wengi barani Afrika. Kutana na Fanta Dialo kutoka mjini Dakar, Senegal ambaye ameanzisha asasi inayowasaidia vijana kubaini fursa za kiuchumi ya Ndoto ya Senegal.

https://p.dw.com/p/2sHBO