Nakshi za magamba ya baharini | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Nakshi za magamba ya baharini

Huko Unguja visiwani Zanzibar mbunifu mmoja anazitia nakshi nyumba kwa kutumia mabaki ya viumbehai wa baharini. Magamba ya Kome yanatumika kama urembo kwenye kuta za nyumba. Tizama zaidi.

Tazama vidio 02:51