Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi wa Kenya ajiuzulu | Matukio ya Afrika | DW | 02.05.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi wa Kenya ajiuzulu

Nchini Kenya, Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi leo amejiuzulu kama Waziri wa serikali za mitaa na kutangaza kukihama chama cha ODM.

Jengo la Bunge mjini Nairobi

Jengo la Bunge mjini Nairobi

Mudavadi amesema atawania wadhifa wa rais kupitia chama kipya cha United Democratic Front - UDF. Bw Mudavadi hata hivyo atasalia katika wadhifa wake wa Naibu Waziri Mkuu. Alfred Kiti anayo zaidi kutoka mjini Nairobi.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Alfred Kiti (Nairobi )

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada