Mzozo wa Tigray waendelea kutokota | Media Center | DW | 30.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mzozo wa Tigray waendelea kutokota

Mzozo wa Tigray unapoendelea, idadi ya wahamiaji pia inazidi kuongezeka. Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi Filippo Grandi amesema Sudan inahitaji dola milioni 150 ili kuwasaidia wahamiaji hao wanaokimbia machafuko katika jimbo la Tigray.

Tazama vidio 01:41