Mwisho wa analogia leo Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 31.12.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mwisho wa analogia leo Tanzania

Hii leo ikiwa ni siku ya mwisho ya matumizi ya mfumo wa Analogia katika sekta ya utangazaji nchini Tanzania, ambapo watumiaji na wadau wote wa vyombo vya habari wanageukia mfumo wa Digitali.

ARCHIV - Die undatierte zeitgenössische Aufnahme zeigt Emil Berliner mit seinem ersten Grammophon und einer der ersten Zink-Schallplatten. Vor 125 Jahren meldete der Erfinder das Patent für Platte und Grammophon an. Heute gehen Tonmeister davon aus, dass die Platte als einziges analoges Medium in der digitalen Welt überleben wird. Foto: Deutsche Grammophon/dpa (zum dpa-Korr: «Direct to Disc: Die Schallplatte bleibt nach 125 Jahren lebendig» vom 20.09.2012) +++(c) dpa - Bildfunk+++

Gramaphone

Swali linaloulizwa je watanzania kweli wanafahamu uhamaji huo na je swala hili limekuja wakati muafaka? Kwa kutaka kujua zaidi kutoka kwa raia wa Tanzania Amina Abubakar amezungumza na baadahi ya raia hao kutoka maeneo tofauti ya taifa hilo kwa njia ya simu. Kusikiliza kauli za raia hao bonyeza alama ya kusikiliza masikioni.

Mwandishi Amina Abubakar
Mhariri Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada