Mwaure asalimu amri katika kinyang′anyiro cha urais Kenya | Media Center | DW | 14.08.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mwaure asalimu amri katika kinyang'anyiro cha urais Kenya

Mgombea urais nchini Kenya kupitia tiketi ya chama cha Agano David Waihiga Mwaure amekuwa mgombea wa kwanza wa urais kukubali kushindwa. Katika kikao na waandishi wa habari, Waihiga amesema baada ya tathmini ya matokeo yaliyotangazwa kufikia sasa na tume ya uchaguzi IEBC, chama chake kimesalimu amri. Sikiliza mahojiano kati ya Babu Abdalla na mchambuzi wa siasa Ayub Mwangi.