Mwanamuziki wa Guinea afungua chuo cha muziki cha wanawake | Afrika yasonga mbele | DW | 18.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mwanamuziki wa Guinea afungua chuo cha muziki cha wanawake

Sayon Bamba, mwanamke wa Guinea, ameamua kuweka kando changamoto alizokumbana nazo wakati anasomea muziki na badala yake kuanzisha chuo katika mji mkuu Conakry, kinachowawezesha wanawake ambao wamekutana na ubaguzi.

Tazama vidio 03:06

Sayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijana

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com