1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamuziki asiye na mikono

30 Juni 2022

Felix Klieser alizaliwa bila mikono ila hilo halijamzuia kuwa mmoja wa wacheza ala za muziki mahiri duniani. Tazama jinsi anavyocheza ala ya pembe ya Kifaransa kwa vidole vyake vya miguu.

https://p.dw.com/p/4DSwO