1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke aliyeteswa na mumewe Ivory Coast

17 Septemba 2019

Kutana na Alimatou Bamba, mwanamke kutoka Ivory Coast ambaye aliteswa na mumewe baada ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri wa miaka 13. Kwa sasa anaishi mjini Abidjan na anakusudia kupambana na ndoa za mapema.

https://p.dw.com/p/3Pjl7