Marekani na Umoja wa Afrika waiwakilisha jumuiya ya Kimataifa katika juhudi za kutafuta ufumbuzi juu ya mvutano uliopo kati ya baraza la kijeshi ,muungano wa upinzani na waandamanaji wanaozidi kushinikiza serikali ya kiraia iundwe kufanikisha mapinduzi waliyoyafanya ya kumuondowa muimla Omar al Bashir