1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muziki watumika kudai haki za kiraia

Sylvia Mwehozi
3 Machi 2020

Watu wengi hufikiria muziki wa kufoka foka unaimbwa na wahuni. Gradys Madigolo ni msanii wa muziki wa kufoka kutoka Kenya yeye anataka kubadili fikra hizo. Anaamini muziki wake unawawezesha wanawake. #VijanaMubashara #77 asilimia.

https://p.dw.com/p/3Ymir