Muziki wa zamani ni dhahabu | Masuala ya Jamii | DW | 05.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Muziki wa zamani ni dhahabu

James “Jimmy” Rugami ni mfanyabiashara wa rekodi za santuri ambazo amezikusanya kwa miaka mingi. Anaendesha biashara yake katika kibanda kidogo katika soko la Kenyatta jijini Nairobi

Tazama vidio 03:16
Sasa moja kwa moja
dakika (0)