Mtuhumiwa wa mauaji ya halaiki 1994 kukabidhiwa Rwanda
20 Aprili 2012Matangazo
Hatua ya ICTR imeifurahisha serikali ya Kigali ikisema inaonyesha ni kwa jinsi gani Jumuiya ya Kimataifa sasa inaimani na mfumo wa sheria nchini humo.Mtuhumiwa huyo sasa atashtakiwa chini ya sheria za Rwanda.Mwandishi wetu Sylvanus Karemera ameifuatilia ripoti hiyo na kututumia maelezo yafuatayo.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi:S.Karemera
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman