1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtangazaji nguli wa DW Sekione Kitojo astaafu

20 Oktoba 2020

Baada ya kuitumikia DW kwa zaidi ya miaka 20, hatimaye mtangazaji nguli wa michezo na habari Sekione Kitojo anastaafu. Tazama jinsi ambavyo watangazaji wenzake wanammiminia sifa na kumtakia maisha mema baada ya kustaafu. Je wewe unamfahamu kwa lipi?

https://p.dw.com/p/3kAca