Mtandao wa kuokoa vyakula vinavyotupwa huko Berlin | Media Center | DW | 06.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mtandao wa kuokoa vyakula vinavyotupwa huko Berlin

Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inaangazia harakati hizo za kuokoa vyakula zinazofanyika hapa nchini Ujerumani kama njia ya kupiga vita utupwaji mwingi wa vyakula unaofanyika katika nchi nyingi za magharibi mfano hapa Ujerumani. Aliyekuandalia makala hii kutoka mjini Berlin, ni Harrison Mwilima.

Sikiliza sauti 09:43