1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa kijamii unaoshika kasi miongoni mwa vijana TikTok

Sylvia Mwehozi19 Novemba 2019

Katika Sema Uvume Sylvia Mwehozi anakujulisha juu ya mtandao unaozidi kushika kasi miongoni mwa vijana wa TikTok, pili utaskia juu ya ongezeko la pengo la kijinsia katika ulimwengu wa matumizi ya intaneti na je wanaume huwa wanatafuta taarifa zipi kulinganisha na wanawake?

https://p.dw.com/p/3TI9a