1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mripuko Mjini Nairobi

6 Desemba 2012

Watu wanane wamejeruhiwa katika mripuko uliotokea jana jioni (05.12.2012) mjini Nairobi, karibu na mtaa wa Eastleigh unaokaliwa na watu wengi wenye asili ya kisomali.

https://p.dw.com/p/16wWr
Mripuko mwingine watokea mtaa wa Eastleigh,Nairobi
Mripuko mwingine watokea mtaa wa Eastleigh,NairobiPicha: dapd

Duru za mashirika ya msaada zinaeleza kuwa watatu miongoni mwa waliojeruhiwa wako katika hali mahututi. Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na naibu mkuu wa polisi ya Kenya, Charles Owino, na kwanza alimuuliza ni kina nani wanaoshukiwa kusababisha mripuko huo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri:Yusuf Saumu