1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa uchimbaji madini ya Titanium Kenya

Sylvia Mwehozi
9 Mei 2018

Makala yetu leo inatuama katika mradi wa uchimbaji madini ya Titanium Katika kaunti ya Kwale katika mwambao wa Pwani nchini Kenya. Huo ni mradi mkubwa wa uchimbaji madini nchini humo. Msimulizi ni Reuben Kyama

https://p.dw.com/p/2xQMk