Moto katika mlima Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 20.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Moto katika mlima Kenya

Makundi ya wanyama kama tembo na wengine wanakimbia moto mkubwa uliokuwa ukiteketeza msitu katika mlima Kenya , wakati kikosi cha kuhudumia wanyamapori nchini Kenya kikijitahidi kuudhibiti moto huo.

Tembo wakiukimbia moto

Tembo wakiukimbia moto

Sekione Kitojo amezungumza na msemaji wa idara ya huduma kwa wanyamapori nchini Kenya, "Kenya Wildlife Service", Paul Udoto na alitaka kwanza kujua ni athari kiasi gani imetokana na moto huo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni)

Mwandishi : Sekione Kitojo

Mhariri:Abdul-Rahman Mohammed

Sauti na Vidio Kuhusu Mada