Mmoja afa baada ya zoezi la kiusalama Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 01.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mmoja afa baada ya zoezi la kiusalama Kenya

Polisi nchini Kenya inachunguza zoezi la kupima utayari wa kukabiliana na shambulizi la magaidi katika chuo kikuu cha Strathmore Nairobi, ambapo mtu mmoja alifariki na zaidi ya wanafunzi 20 kujeruhiwa.

Sikiliza sauti 02:18

Sikiliza ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com