1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mlima Oldonyo lengai unavyotambulisha utamaduni wa kimasai

Veronica Natalis/MMT15 Julai 2021

Mlima Oldonyo Lengai, uliopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kaskazini mwa Tanzania hutumika kwa ajili ya matambiko na maombi kutoka kwa 'mungu' anayeabudiwa katika eneo hilo. Makala ya Utamaduni na Sanaa inauangazia mlima huo pamoja na matambiko au maombi yanayofanywa huko.

https://p.dw.com/p/3wVNL