1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkuu wa zamani wa majeshi ya Komoro aachiwa huru

2 Novemba 2012

Visiwani Comoro,washtakiwa watano akiwemo aliyekuwa mkuu wa majeshi ya nchi hiyo Luteni Jenerali wa Salim Mohammed Amir, wameachiwa huru na mahakama baada ya kutopatikana na hatia ya mauaji ya Luteni kanali Kombo Ayuba.

https://p.dw.com/p/16bkF

Luteni Ayuba aliuwawa Juni 30 mwaka wa 2010. Uamuzi wa mahakama umetolewa usiku wa manane wa kuamkia leo (01.11.2012) katika kesi iliochukua zaidi ya saa 34. Mwandishi wetu mjini Moroni AbdulRahman Baramia ana ripoti kamili

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Abdulrahman Baramia

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman