Mkongwe wa sanaa ya uchoraji nchini Tanzania | Media Center | DW | 29.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mkongwe wa sanaa ya uchoraji nchini Tanzania

Kutana na Raza Mohammed ambaye amekuwa akifanya kazi ya uchoraji kutoka akiwa na umri mdogo na ameendelea nayo hadi sasa akiwa na miaka takribani 78. Fuatana na video yake Ahmad juma kwa mengi zaidi.

Tazama vidio 03:38