Mkimbizi wa Syria abuni shule kambini | Media Center | DW | 20.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mkimbizi wa Syria abuni shule kambini

Kutana na Mohammed, mkimbizi kutoka Syria anayetumia fursa aliyonayo kuinufaisha jamii licha ya machungu anayopitia. Je ni wangapi tunaoweza kusahau changamoto tunazopitia na kuwa baraka kwa wengine ?

Tazama vidio 01:05

Mohammed ni mwalimu mkimbizi kutoka eneo la Karnaz, Kaskazini mwa mji wa Hama na amekuwa akiwafundisha watoto kwa muda wa miezi mitatu iliyopita chini ya mti wa mzeituni katika kambi ya watu waliopoteza makazi yao. Nyumbani kwake ni katika eneo la Atme karibu na mpaka wa Syria na Uturuki.Je ni wangapi tunaoweza kusahau changamoto tunazopitia na kuwa baraka kwa wengine ?