Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa ziarani Goma | Matukio ya Afrika | DW | 19.03.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa ziarani Goma

Mjumbe maalumu Wa katibu mkuu Wa Umoja Wa mataifa katika kanda ya maziwa makuu Bi Mary Robinson, yuko ziarani mjini Goma , mkoani Kivu ya kaskazini Katika jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,

Mary Robinson

Mary Robinson

Ziara yake hio ni kutathmini hatua zilizopigwa kufikia sasa, kufuatia mkataba wa amani katika kanda ya maziwa makuu,uliosainiwa mjini Addis ababa mwaka jana.

Mwandishi wetu John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Beni. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada