Mji Mkuu wa mazoezi | Media Center | DW | 20.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mji Mkuu wa mazoezi

Mwandishi wa DW Edith Kimani ameitembelea nchi ya Ghana na safari yake inaanzia katika Black Star Square ambapo anakutana na Bernice Asiedu mwalimu wa mazoezi. Tazama vidio hii inayoonesha jinsi msichana huyu anavyojaribu kuufanya mji wa Accra uwe Mji Mkuu wa mazoezi Afrika na pia mji ambao watu wanakula vyakula vinavyochangia katika kuleta afya bora.

Tazama vidio 02:26