1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjadala kuhusu umri sahihi kwa kijana kushiriki mapenzi

Sylvia Mwehozi
25 Juni 2019

Mbiu ya mnyonge hii leo inajikita kwenye hoja ya kuupunguza umri halali wa kufanya mapenzi na kwa upande wa pili adhabu kali kwa wavulana wanaomtia mimba msichana au kumnajisi, nchini Kenya. Ungana naye Thelma Mwadzaya.

https://p.dw.com/p/3L2yH