Mitandao ya kijamii imeongeza maambukizi ya Ukimwi | Masuala ya Jamii | DW | 17.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mitandao ya kijamii imeongeza maambukizi ya Ukimwi

Watafiti wanaonya kuwa mitandao ya kijamii na Prograu au Apps ua kuwatafuta wenza vinachangia katika maambukizi ya Virusi vya Ukimwi miongoni mwa vijana

Sikiliza sauti 09:46

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com