Misemo na methali, kisima cha hekima za Kiswahili | Anza | DW | 15.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Misemo na methali, kisima cha hekima za Kiswahili

Kiswahili kina utajiri mkubwa wa misemo, methali na simo, ambazo licha ya kufumbata ujumbe mzito ndani yake, pia hutumiwa na Waswahili wenyewe kuakisi maisha na mazingira yao. Kwenye sehemu hii ya Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na mtaalamu wa misemo ya Kiswahili, Bwana Mohammed Said wa Mjini Unguja, ambaye anaufafanua msemo "Usiuchezee upepo wa Kusi kwa tanga bovu".

Sikiliza sauti 08:08