1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Midahalo ya kisiasa Kenya ina tija?

19 Julai 2022

Leo jioni wagombea wenza wa nafasi za rais katika uchaguzi wa Kenya wanashiriki katika mdahalo wa televisheni/redio ili kunadi sera zao. Wapiga kura wanasemaje kuhusu midahalo hiyo?

https://p.dw.com/p/4EMa6