Miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 26.04.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Leo tarehe 26.04.2013 Tanzania inaadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete

Siku kama hii mwaka 1964 ndipo ulipozaliwa Muungano wa mataifa hayo mawili chini ya waasisi wake Marehemu Abeid Amani Karume pamoja na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Sudi Mnette amezungumza na Bw. Khamis Abdallah Ameir ambaye alikuwepo katika baraza la mapinduzi la Zanzibar na alikuwa ni miongoni mwa walioshiriki wakati wa maridhiano ya muungano huo na kwanza tulitaka kujua yeye binafsi siku hii inamkumbusha nini? Kusikiliza mazungumzo hayo pamoja na maoni ya wananchi, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada