1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 30 ya shirika la hisani la Kijerumani Tafel

Iddi Ssessanga1 Machi 2023

Shirika la kwanza la msaada wa chakula nchini Ujerumani, Tafel, lilifunguliwa mjini Berlin miaka 30 iliyopita. Huko, watu wenye uhitaji wanaweza kupokea vyakula ambavyo vingetupwa. Kilichoanza kama wazo la hiari kimegeuka chombo cha kisiasa cha nchi nzima.

https://p.dw.com/p/4O6FG