Mgomo wa Walimu nchini Tanzania
2 Agosti 2012Matangazo
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amewatolea wito walimu walioko kwenye mgomo wakishinikiza kuongezewa marupuru ya mishahara kurejea kazini kwani madai yao hayawezi kutimizwa na serikali kwa wakati.
Mwandishi wetu kutoka Daressalaam, George Njogopa anaarifu zaidi.
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohammed Khelef