Mgomo wa Walimu nchini Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 25.06.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Mgomo wa Walimu nchini Kenya

Nchini Kenya, Shughuli za masomo zimetatizwa kufuatia mgomo wa kitaifa wa walimu ulioanza leo 25.06.2013.

Wanafunzi wa shule nchini Kenya wakabiliwa na mgomo wa walimu Zulieferer: Vera Kern

Wanafunzi wa shule nchini Kenya wakabiliwa na mgomo wa walimu

Nchini Kenya, Shughuli za masomo zimetatizwa kufuatia mgomo wa kitaifa wa walimu ulioanza leo. Zaidi ya wanafunzi milioni 12 wa shule za msingi na zile za upili kote nchini wameathiriwa na mgomo huo ulioitishwa na Chama cha Kitaifa cha Walimu nchini KNUT na kile cha walimu wasio wa shule za msingi KUPPET.

Mwandishi wetu wa mjini Nairobi Alfred Kiti na ripoti kamili. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo nchini

Mwandishi Alfred Kiti

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com