1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa madaktari nchini Kenya

11 Desemba 2013

Kenya imeanza sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa taifa hilo huku wananchi wake wakitaabika na adha ya kupata matibabu kutokana na mgomo wa madaktari ambao leo hii unaingia siku yake ya pili.

https://p.dw.com/p/1AXBV
Madaktari nchini Kenya wadai maslahi bora
Madaktari nchini Kenya wadai maslahi boraPicha: picture-alliance/ dpa

Madaktari wanaishinikiza serikali wapate maslahi bora kwa mujibu wa katiba mpya ya taifa hilo. Kutoka mjini Nairobi Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya, Barack Muluka na kwanza alitaka kujua nini hasa kiini cha mgomo huu wa sasa. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Saumu Yusuf