Mgomo wa Madaktari nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Afrika | DW | 03.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mgomo wa Madaktari nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Mgomo wa madaktari katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo umeingia siku yake ya pili hii leo (03.04.2012)

Watoto wagonjwa bila matibabu hospitalini

Watoto wagonjwa bila matibabu hospitalini

Tayari mgomo huo umeanza kuonyesha athari katika sekta hiyo ya afya ambapo wagonjwa ambao wamepatiwa matibabu ni wale wa dharura pekee na wale waliolazwa hospitalini kabla ya mgomo.

Madaktari wanadai nyongeza ya mishahara yao ambayo serikali iliahidi kuizidisha mara mbili kuanzia Januari mwaka huu. Taarifa kamili na mwandishi wetu mjini Kinshasa Saleh Mwanamilongo

(Kusikiliza taarifa hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi :Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada