Mgomo Bandarini Mombasa
2 Novemba 2012Matangazo
Kwa sasa inasemekana kuwa wahusika wakuu wa bandari hiyo akiwemo mkurugenzi Gichiri Ndua wako katika mkutano wa kujadili namna ya kukabiliana na mgomo huo na kuzingatia matakwa ya wanaogoma.
Bandari ya Mombasa ni muhimu kwa nchi nyingi za kanda ya Afrika Mashariki na kati.
Amina Abubakar amezungumza na mwandishi wetu mjini humo Eric Ponda na kwanza anaelezea hali halisi ilivyo wakati huu :-
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman