1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wa gesi ya Mtwara na serikali

Mjahid, Amina Abu Ali4 Januari 2013

Huku mzozo wa kusafirishwa gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam, Tanzania, ukizidi, baadhi ya wachambuzi wanaungana na wakaazi wa mikoa ya kusini wakisema wana madai ya msingi kutaka kufaidika na mapato ya gesi hiyo.

https://p.dw.com/p/17DeY

Amina Abubakar anazungumza na Gwandumi Mwakatobe ambaye ni mwandishi na pia mchambuzi nchini Tanzania.