Mgahawa wavutia wateja kwa chakula cha bangi huko Thailand | Media Center | DW | 21.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mgahawa wavutia wateja kwa chakula cha bangi huko Thailand

Jiunge nami Saumu Mwasimba kwenye burudani la Karibuni kupata uhondo kuhusu mambo kemkem ya kusisimua. Huko Thailand mgahawa mmoja wapata umaarufu kwa kunogesha vyakula vyake kwa kutumia majani ya bangi.Kadhalika nchi hiyo imeanzisha kliniki chungunzima zilizoruhusiwa kutumia bangi kama tiba.Na vipimo vya vinasaba DNA vyaibua hekaheka katika familia moja Uingereza.

Sikiliza sauti 30:33