1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Ulaya na siasa za mrengo mkali wa kulia

Daniel Gakuba30 Septemba 2022

Maoni mbele ya Meza ya Duara wiki hii imewaleta mezani wachambuzi wa siasa za kimataifa kutoa tathmini juu ya kwanini bara la Ulaya linatumbukia mikononi mwa wasiasa na vyama vya mrengo mkali wa kulia? Mwongozaji ni Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/4HbSU