1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Mafunzo kutokana na COVID-19 kwa ulimwengu

Mohammed Khelef
9 Mei 2020

Dunia inaendelea kukabiliana na janga la COVID-19 ambalo limeshaangamiza maisha ya maelfu ya binaadamu, mamilioni wakiwa wameambukizwa na mamilioni kupoteza kazi zao kutokana na chumi kufungwa ulimwenguni. Je, mwanaadamu amejifunza nini panapohusika nafasi yake kwenye sayari hii ya dunia, ambayo amekuwa mshiriki mkuu wa kuichafuwa?

https://p.dw.com/p/3bybQ