1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel atuzwa kwa kuwaruhusu wahamiaji wa Syria kuingia Ujerumani 2015 na 2016.

6 Oktoba 2022

Wema aliowatendea wahamiaji kwa kuwaruhusu waingie Ujerumani mwaka 2015 na 2016 alipokuwa kansela umezawadiwa. Shirika linalowashughulikia wahamiaji la Umoja wa Mataifa limemtuza Angela Merkel tuzo yake ya juu zaidi kwa utu wake.

https://p.dw.com/p/4HqJv